Exodus 15:7

7 aKatika ukuu wa utukufu wako,
ukawaangusha chini wale waliokupinga.
Uliachia hasira yako kali,
ikawateketeza kama kapi.
Copyright information for SwhNEN